• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mswada wa orodha ya majina ya wajumbe wa kamati kuu ya CPC wawasilishwa kwenye mkutano wa tatu wa presidium

    (GMT+08:00) 2012-11-13 18:43:13

    Mswada wa orodha ya majina ya wajumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, wajumbe wasio rasmi wa kamati hiyo na wajumbe wa kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu umewasilishwa kwenye mkutano wa tatu wa presidium ya mkutano mkuu wa 18 wa chama cha kikomunisti cha China.

    Mkutano huo uliendeshwa na rais Hu Jintao.

    Muswada huo utajadiliwa na wajumbe wote, na wajumbe hao watachaguliwa rasmi kesho asubuhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako