• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makamu wa rais wa Kenya atarajia kufanya ushirikiano na viongozi wapya wa Chama cha Kikomunisti cha China

    (GMT+08:00) 2012-11-14 16:01:34

    Makamu wa rais wa Kenya Kalonzo Musyoka amesema anatarajia kushirikiana na viongozi wapya wa Chama cha Kikomunisti cha China.

    Kalonzo amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa barabara mpya ya kisasa katika mji mdogo wa Thika nchini Kenya iliyojengwa na makampuni ya China.

    (sauti) Tunafurahi na kutarajia kufanya ushirikiano na viongozi wapya wa Chama cha Kikomunisti cha China. Mimi nikiwa makamu wa rais wa Kenya na kiongozi wa chama cha Wiper Democratic Movement, nawatakia kila la heri. Mnaweza kuona kuwa ushirikiano kati ya China na Kenya unajaa nguvu ya uhai, na ujenzi wa barabara hiyo ni mfano mzuri wa ushirikiano kati ya China na Kenya .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako