• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa saba wa vyuo vya Confucius wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2012-12-17 11:10:06

    Mkutano wa saba wa vyuo vya Confucius vilivyo sehemu mbalimbali duniani umefanyika jana usiku katika Kituo cha Mikutano cha taifa cha China hapa mjini Beijing. Mwenyekiti wa baraza la makao makuu ya vyuo vya Confucius Bibi Liu Yandong alihudhuria mkutano huo na kutoa hotuba. Bibi Liu amesema shughuli za matangazo ya lugha ya Kichina kote duniani zimepata maendeleo mapya mwaka huu, kwani vyuo 400 na madarasa zaidi ya 500 ya Confucius yameanzishwa, huku idadi ya wanafunzi waliojiandikisha ikifikia laki 6.5.

    Zaidi ya watu 2000 wakiwemo wakuu wa vyuo vikuu na wajumbe wa vyuo vya Confucius kutoka nchi na sehemu 108 walihudhuria mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako