• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya kwanza ya utafiti kuhusu mahitaji ya watoto wa China kwa misaada yatangazwa

    (GMT+08:00) 2013-01-08 16:34:07

    Ripoti ya kwanza ya utafiti kuhusu mahitaji ya watoto wa China kwa misaada ya mwaka 2012 imetolewa hivi karibuni mjini Beijing, China. Ripoti hiyo inaandaliwa kwa pamoja na Mfuko wa watoto na vijana wa China, pamoja na kituo cha utafiti wa misaada ya jamii katika Chuo cha maendeleo ya jamii na sera za umma cha Chuo Kikuu cha Ualimu cha Beijing baada ya kufanya utafiti kuhusu mashirika 45 yanayoshughulikia mambo ya watoto katika miji na mikoa 13 kote nchini China.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako