• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jinsi hali ya umaskini unavyowakabili wanawake hususan vijijini barani Afrika kuliko wanaume

    (GMT+08:00) 2013-02-09 18:41:54

    Hivi sasa wanawake wengi wa vijijini hususan katika bara la Afrika wamekuwa wakijihusisha shughuli za kilimo cha mazao ya chakula na shughuli zinazowapatia kipato kidogo, wakati wanawake maskini waishio mijini waliendesha biashara ndogo ndogo katika sekta isiyo rasmi. Je, chanzo cha hali hiyo ni nini? Na wanawake hao wanatakiwa kufanya nini ili kubadilisha hali hiyo? Kipindi hiki cha Sauti ya Wanawake kitazungumzia suala hili.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako