• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaendelea na mchakato wa kutunga sheria ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake

    (GMT+08:00) 2013-03-11 16:30:59

    Katika miaka mitano iliyopita baraza la 11 la bunge la umma la China, limekuwa likitoa miswada na mapendekezo kuhusu kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake ambayo yamekuwa yakiongezeka, na mengi zaidi yanahusu kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake nyumbani, unyanyasaji wa kijinsia, pamoja na kupambana na uhalifu wa kuuza wanawake na watoto. C. Kamati ya wafanyakazi katika Halmashauri ya kudumu ya bunge la umma la China pamoja na kamati maalumu inayohusika mara nyingi zimekuwa zikifanya utafiti kuhusu kazi ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake nyumbani. Kutokana na juhudi za pamoja za pande mbalimbali, kazi ya kutunga sheria katika mambo hayo imepata maendeleo makubwa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako