• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa awamu mpya wa serikali ya China wachakuliwa

    (GMT+08:00) 2013-03-14 19:19:15

    Mkutano wa kwanza wa Bunge la umma la 12 la China leo tarehe 14 asubuhi umeitisha kikao chake cha 4 cha wajumbe wote kwenye Jumba la mikutano ya umma, ambapo wajumbe wakipiga kura bila kuandika majina yao, wamemchagua Xi Jinping kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, na mwenyekiti wa Kamati kuu ya kijeshi ya Jamhuri ya Watu wa China; kumchagua Zhang Dejiang kuwa Spika wa Halmashauri ya kudumu ya Bunge la umma la 12 la China; kumchagua Li Yuanchao kuwa makamu rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Mkutano huo umepiga kura pia kwa kuidhinisha mpango kuhusu mageuzi ya wizara na idara za Baraza la serikali .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako