• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China na Marekani wajadili uhusiano wao kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2013-03-15 10:46:22

    Rais mpya wa China Xi Jinping jana usiku aliongea na rais Barack Obama wa Marekani kwa njia ya simu juu ya masuala ya kupanua ushirikiano na kuheshimiana kati ya China na Marekani. Akimpongeza Xi Jinping kwa kuchaguliwa kuwa rais wa China, Obama amesema Marekani na China zimekuwa na ushirikiano mkubwa na wa kina katika miaka minne iliyopita. Naye Bw. Xi ameeleza kuwa pande hizo mbili zina maslahi ya pamoja lakini pia zina tofauti na kwamba China ingependa kufanya kazi na Marekani katika kuzidisha uaminifu, kupanua ushirikiano, kushughulikia tofauti zilizopo, na kuimarisha mawasiliano yawe ya kiwango cha juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako