• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema maelengo ya maendeleo endelevu yanapaswa kufuata hali halisi za nchi

    (GMT+08:00) 2013-03-15 10:48:09

    Naibu mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Wang Ming amesema malengo ya maendeleo endelevu yaliyojadiliwa na Umoja wa Mataifa yanapaswa kuheshimu tofauti za hali ya nchi na hatua za kujiendeleza. Hayo ameyasema kwenye taarifa aliyoitoa kwa niaba ya China Indonesia na Kaskhstan kwenye mkutano wa kwanza wa malengo ya maendeleo endelevu. Amesema malengo hayo yanapaswa ya wote na kuweza kutumika kwa nchi zote na kuzipa nchi marejeo na mapendekezo kwa ajili ya mendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako