• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping aondoka Beijing kwa ziara ya nchi 4 katikati ya Asia

    (GMT+08:00) 2013-09-03 11:14:50

    Rais Xi Jinping wa China ameondoka leo asubuhi mjini Beijing kwa ajili ya ziara rasmi nchini Turkmenistan, Kazakhstan, Uzbekistan na Kyrgyzstan pamoja na kuhudhuria mkutano wa viongozi wa kundi la G20 utakaofanyika tarehe 5 na 6 mjini St Petersburg nchini Russia. Ziara ya Rais Xi inafuatia mwaliko wa marais wa nchi hizo zote. Baada ya hapo rais Xi atahudhuria mkutano wa 13 wa baraza la viongozi wa nchi wanachama cha Jumuia ya ushirikiano ya Shanghai huko Bishkek, Kyrgyzstan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako