• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tullow kuanza uchimbaji wa kisima kipya wiki ijayo.

    (GMT+08:00) 2013-11-22 20:03:00

    Kampuni ya mafuta ya Tullow oil imetangza kuwa itaanza uchimbaji wa kisima kipya cha mafuta katika eneo la Agete 1 huko Turkana.

    Kisima hicho cha Agete 1 kitakuwa cha tano tangu kampuni hiyo, ianze utaftaji wa mafuta katika eneo hilo nchini Kenya.

    Tangazo hilo limekuja siku kadha baada ya kampuni hiyo kuanza tena kazi katika eneo hilo, mnamo novemba nane.

    Kisima hicho kinatarajiwa kufungua ukurasa mpya kwa kampuni hiyo na pia kwa Uchumi wa Kenya kulingana na matamshi ya waziri wa kawi nchini humu Davis Chirchir.

    Waziri huyo anasema ripoti kuhusu uchimbaji wa mafuta hayo itapeanwa mwaka ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako