• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atembelea ujumbe wa China wa michezo ya Olimpiki ya Sochi

    (GMT+08:00) 2014-02-08 10:40:53

    Rais Xi Jinping wa China jana alitembelea ujumbe wa China wa michezo ya 22 ya Olimpiki ya Sochi.

    Rais Xi Jinping kwanza alitoa salamu ya sikukuu na matumaini mazuri kwa wachezaji, kocha na wafanyakazi wote wa China wanaohudhuria michezo huo. Rais Xi Jinping aliwataka wachezaji wote washindane kwa roho ya Olimpiki na roho ya michezo ya kichina, kuonesha sura nzuri ya China na kutoa mchango kwa kugombea kufanya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya mwaka 2020.

    Wachezaji, kocha na wanfanyakazi wote wa China walisema watafuatilia matarajio ya rais Xi Jinping, kufanya juhudi zote na kuwasilishana urafiki na wachezaji wengine, ili kupata ushindi kwa hali na sura nzuri ya kushindana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako