• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wafungwa

    (GMT+08:00) 2014-02-23 19:44:18

    Mkutano wa siku 2 wa mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi ya G20 umefungwa mjini Sydney, Australia. Mkutano huo umejadili hali ya uchumi ilivyo hivi sasa duniani, uwekezaji wa muda mrefu, mkakati wa kupata ukuaji kwa pande zote, mageuzi katika Shirika la Fedha Duniani IMF na vyombo vya fedha pamoja na ushirikiano wa kimataifa wa mambo ya kodi.

    Mkutano huo umeamua kuwa nchi za G20 zitatunga sera zenye mafanikio na zinazoweza kutekelezwa ili kuongeza pato la jumla la G20 kwa asilimia 2 kuliko lilivyokadiriwa katika miaka mitano ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako