• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China yajadili ripoti ya kazi za serikali

    (GMT+08:00) 2014-02-24 20:57:38

    Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China imefanya mkutano wa kujadili ripoti ya kazi za serikali ambao umeongozwa na katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping.

    Mkutano huo umesema ili kutimiza malengo ya maendeleo ya uchumi na jamii ya mwaka huu, China inatakiwa kuimarisha mageuzi, kutilia mkazo mageuzi ya mfumo wa uchumi, kuyafanya mahitaji ya ndani yawe injini kuu ya uchumi wa China, kutoa kipaumbele katika maendeleo ya mambo ya elimu, na kuongeza nguvu ya kuhifadhi mazingira na kudhibiti uchafuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako