• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mgomo wa wachimba madini ya Platinum nchini Afrika Kusini waingia wiki wa tano

    (GMT+08:00) 2014-02-25 11:52:09

    Mgomo mkubwa wa wachimba madini ya Platinum nchini Afrika kusini umeingia katika wiki ya tano, na mpaka sasa bado hakuna dalili yoyote ya kumalizika kwa mgogo huo. Mgomo huo unaoshirikisha wachimbaji elfu 80 wa chama cha wachimba madini na wajenzi AMCU umesimamisha kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa Platinum duniani. Habari zinasema, chama cha AMCU kimeapa kuendelea na mgomo huo hadi matakwa yake yatakapotimizwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako