• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • mkutano wa wajumbe wa kudumu wa bunge la 12 la umma la China wafanyika

    (GMT+08:00) 2014-02-25 20:53:40
    mkutano wa wajumbe wa kudumu wa bunge la 12 la umma la China umefanyika leo hapa China, na kufanya maandalizi kwa mkutano wa pili wa baraza la 12 la bunge la umma. spika wa bunge la umma la China Bw. Zhang Dejiang ameendesha mkutano huo. mkutano huo umejadili mswada wa ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya bunge la umma, na ajenda ya mkutano wa pili wa baraza la 12 la bunge la umma la China utakaofanyika mwezi ujao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako