• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • mkutano wa maandalizi ya Baraza la mashauliano ya kisiasa la China wafanyika

    (GMT+08:00) 2014-02-26 20:48:59
    Mkutano wa nne wa kamati ya kudumu ya awamu ya 12 ya baraza la mashauliano ya kisiasa la China umefanyika leo hapa Beijing. mkutano huo umefanya maandalizi kwa mkutano wa pili wa wa awamu ya 12 ya baraza la mashauliano ya kisiasa, kujumuisha kazi ya mwaka 2013 na kujadili kazi ya mwaka 2014. mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Yu Zhensheng ameendesha mkutano huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako