• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jumuiya ya kimataifa yasifu ujenzi wa mfumo nchini China

    (GMT+08:00) 2014-03-03 16:25:49
    Mkutano wa baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China umefunguliwa leo hapa Beijing. Jumuiya ya kimtaifa imefuatilia mkutano huo, huku baadhi ya maofisa na wataalamu wakisema kuwa, China imepata mafanikio makubwa katika kutafuta njia ya maendeleo inayolingana na hali yake, na kuhimiza zaidi ujenzi wa mfumo wake maalumu wa kichina wa ujamii. Mtaalamu kutoka chuo kikuu cha Universidad Rey Juan Carlos cha Hispania Bw. Felipe Debasa amesema, mfumo wa siasa na uchumi wa China unaendelezwa siku hadi siku. Naye mtaalamu kutoka chuo kikuu cha John Hopkins cha Marekani Bw. Pieter Bottelier amesema, mageuzi ya uchumi yaliyofanywa na China na sera yake ya maendeleo yamepata mafanikio makubwa, na chama cha Kikomunisti cha China kimefanya kazi kubwa katika maendeleo ya uchumi, na kimeonesha nia na uwezo wa kuzoea mahitaji ya mabadiliko ya mfululizo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako