• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa maandalizi kwa ajili ya mkutano wa pili wa bunge la 12 la umma la China wafanyika

    (GMT+08:00) 2014-03-04 18:43:33

    Mkutano wa maandalizi kwa ajili ya mkutano wa pili wa bunge la 12 la umma la China umefanyika leo hapa Beijing. Mkutano huo ulioendeshwa na spika wa bung la umma Zhang Dejiang ulichagua prisidium na katibu mkuu wa mkutano wa pili wa bunge la 12 la umma, na kupitisha ajenda ya mkutano huo.

    Kwenye mkutano huo Bw. Zhang Dejiang ametangaza kuwa mkutano wa pili wa bunge la 12 la umma la China utafunguliwa kesho, na maandalizi yote yamemalizika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako