• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatangaza vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira

    (GMT+08:00) 2014-03-05 10:44:43

    Ripoti ya kazi za serikali ya China inasema, China itatangaza vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira na kudharamia kupambana na tatizo hilo kwa jitihada na nia thabiti iliyokuwa nayo wakati wa kupambana na umaskini, kufuatia ukungu mzito kusambaa kwenye sehemu nyingi nchini China. Ripoti hiyo iliyotolewa na waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang inasema, China itachukua hatua kali kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa mazingira katika miji mikubwa na maeneo ambayo ukungu mzito hutokea mara kwa mara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako