• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wajumbe wa mikutano miwili ya China watoa mwito kuharakisha kutunga sheria ya kupambana na ugaidi nchini

    (GMT+08:00) 2014-03-06 16:43:57
    Mapendekezo kuhusu kutunga "sheria ya kupambana na ugaidi" nchini China yamekabidhiwa na wajumbe kwenye mikutano wa 2014 ya Bunge la umma la China na Baraza la mashauriano la kisiasa la China. Mapendekezo hayo umewasilishwa baada ya tukio la kigaidi lililotokea mjini Kunming nchini China.

    Mjumbe Li Jiheng ambaye ni mkuu wa mkoa wa Yunnan amesema, shambulizi la kigaidi lililotokea huko Kunming limeonesha kuwa, mfumo wa kutahadharisha na kukabiliana na vitendo vya kigaidi nchini China unatakiwa kukalimishwa na kuboreshwa zaidi.

    Mjumbe Bibi Dilina'er Abdullah amesema, ni muhimu sana kuboresha sheria kama hiyo, ili kuwafahamisha wananchi hila ya magaidi ya kuifarakanisha China na kuwadhuru wananchi wake.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako