• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bajeti ya ulinzi wa taifa la China yaongezeka kwa kiwango mwafaka

    (GMT+08:00) 2014-03-06 16:46:39

    Naibu mkurugenzi wa idara kuu ya ugavi ya jeshi la ukombozi wa umma la China Bw. Sun Huangtian amesema, ongezeko la bajeti ya ulinzi wa taifa liko katika kiwango mwafaka, na kiwango cha bajeti hiyo bado ni cha chini ikilinganishwa na nchi muhimu duniani. Amesisitiza kuwa, ni lazima kutumia na kudhibiti kwa njia mwafaka matumizi ya fedha za jeshi, na kuendeleza mambo ya ulinzi wa taifa yanayotumia kiasi kidogo cha fedha na yenye ufanisi mkubwa.

    Kwa mujibu wa mswada wa bajeti uliothibitishwa na Mkutano wa pili wa bunge la 12 la umma la China, bajeti ya mwaka 2014 ya ulinzi wa taifa la China ni Yuan milioni 808.23, hili ni ongezeko la asilimia 12.2 kuliko mwaka jana wakati kama huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako