• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikao cha pili katika mkutano wa pili wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China chafanyika

    (GMT+08:00) 2014-03-07 16:23:29

    Kikao cha pili cha mkutano wa pili wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China kimefanyika leo alasiri na kuhudhuriwa na mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Yu Zhengsheng. Katika kikao hicho, wajumbe 16 wametoa hotuba kuhusu maendeleo ya kiuchumi na ujenzi wa ustaarabu wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako