• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuwekeza zaidi ya dola bilioni 817 kwenye mpango wake wa kuhifadhi mazingira

    (GMT+08:00) 2014-03-08 19:33:06

    China inatarajiwa kuwekeza zaidi ya dola za kimarekani bilioni 817 kwenye kazi ya kulinda mazingira nchini humo katika kipindi cha utekelezaji wa mpango wa 12 wa maendeleo ya miaka 5. Kwa mujibu wa naibu waziri wa mazingira wa China Bw Wu Xiaoqing, uwekezaji huo ni kutoka kwa serikali, makampuni na taasisi za kifedha za China. China imekuwa ikiongeza matumizi yake ya fedha katika shughuli za kuhifadhi mazingira ambapo katika mwaka wa 2013 iliwekeza jumla ya Yuan trilioni moja. Bw Wu amesema serikali itaongeza uwekezaji wake katika sehemu hiyo mwaka huu haswa katika mpango wa kuzuia uchafuzi wa maji mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako