• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nairobi-Benki kufunga matumizi ya kadi za atm za zamani mwezi Mei

    (GMT+08:00) 2014-03-25 20:28:19

    Muungano wa benki za Kenya umeonya benki ambazo zitakosa kusajili upya wateja wao kutumia kadi za teknolojia ya kisasa ya kutoa na kuweka pesa kuwa tayati kukabiliana na hasara watakayopata.

    Wateja wao watashindwa kutumia kadi za atm za zamani.

    Huduma hizo mpya zimeanza kutumika katika baadhi ya benki za biashara humu nchini huku benki nyingine zikiendelea na usajili na ubadilishaji wa atm zilizotumika hapo awali.

    Baadhi wadau wakuu wa benki nchini Kenya wamelalama kuwa benki kuu ya Kenya imetoa mda mfupi sana wa usajili huo upya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako