• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa FIFA yupo Brazil kukagua mandalizi ya kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2014-04-23 10:56:44

    Ikiwa zimesalia takriban siku 50 hadi kufikia mechi ya ufunguzi ya kombe la dunia nchini Brazil, katibu mkuu wa FIFA Jerome Valcke jana alitembelea the Arena de Sao Paulo huko Itaquera ambapo pia ziara hiyo itafanyika huko Curitiba, Cuiaba na Fortaleza baadaye wiki hii. Akisindikizwa na waziri wa michezo wa Brazil Aldo Rebelo na mjumbe wa bodi ya uongozi ya kamati ya maandalizi ya ya kombe la dunia ya Brazil Ronaldo, Vilcke alikuwa na mkutano na mamlaka za huko na kutembelea kiwanja. Amesema the Arena de Sao Paulo itakuwa tayari kwaajili ya mechi ya ufunguzi. Kwa upande wake waziri Aldo Rebelo amesema ajali ya vifo iliyotokea imechangia kwa kiasi Fulani kuchelewa kwa mradi wa ujenzi, lakini bodi na makampuni wamehakikisha kuwa kila kitu kitakuwa tayari kwa mujibu wa mipango.

    (pili)

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako