• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang asema China ina msingi imara wa kudumisha ongezeko endelevu

    (GMT+08:00) 2014-05-08 20:32:01

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amehutubia mkutano wa kilele wa Afrika wa Baraza la uchumi la dunia.

    Bw. Li Keqiang amesema, ingawa ongezeko la uchumi wa China limepungua kuliko miaka iliyopita, lakini China ina msingi imara wa kudumisha ongezeko endelevu la uchumi. Amesema China itazingatia zaidi ubora na ufanisi wa ongezeko la uchumi, ili kulifanya ongezeko hilo liwe endelevu na kunufaisha watu kwa haki na usawa.

    (Upendo, Carol, Simba)

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako