• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China aahidi kupambana na uwindaji haramu na biashara haramu ya pembe za ndovu

    (GMT+08:00) 2014-05-11 10:02:51

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang ambaye yuko ziarani nchini Kenya amesema, China imejizatiti katika kulinda wanyamapori, na itajitahidi kwa kadri ya uwezo wake kupambana na uwindaji haramu na biashara haramu ya pembe za ndovu. Waziri mkuu amesema hayo baada ya kutembelea tanuri la kuteketeza pembe za ndovu katika Hifadhi ya Taifa ya Nairobi, akiwa na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako