• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Li Keqiang akutana na wakurugenzi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2014-05-11 10:33:15

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang ambaye yuko ziarani nchini Kenya, amekutana na mkurugenzi mtendaji wa Shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP Achim Steiner na mkurugenzi mtendaji wa Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa UN HABITAT Joan Clos.

    Katika mazungumzo hayo, Bw Li amesema, China inapenda kuendeleza ushirikiano na mashirika hayo katika kuhimiza maendeleo yasiyochafua mazingira, kuongeza uwezo wa kusimamia mambo ya mazingira, kuimarisha uhifadhi wa mazingira, na kuhimiza ushirikiano wa Kusini na Kusini katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako