• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya mauzo ya nje ya kahawa ya Uganda yaboreka kwa asilimia 23.

    (GMT+08:00) 2014-06-10 19:35:14

    Uganda imeandikisha ongezeko asilimia 23 ya mauzo ya kahawa na ongezeko la mapato ya asilimia 5.20 kwa ubora wa bidhaa hiyo mwezi Mei na Aprili mwaka huu.

    Halmashauri ya kahawa ya Uganda imeripoti kwamba nyongeza hiyo imetokana na ukame ulioathiri Brazil na kuchangia mavuno duni ya kahawa kutoka nchi hiyo inayouzwa kahawa kwa viwango vikubwa dunini.

    Uganda imeuza magunia 336,676 ya thamanai ya Shs104 billion.

    Kahawa aina ya robusta iliuzwa magunia 232,019 ya thamani ya dola milioni 24.81 na arabuco magunia ya kilo 104,657 ya dola milioni 16.26 .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako