• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha manowari za China chazuru Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2014-06-18 09:53:32

    Kikosi cha manowari za jeshi la majini la China kimewasili mjini Cape Town na kuanza ziara ya kirafiki ya siku nne nchini Afrika Kusini, kituo cha mwisho katika ziara ya nchi nane barani Afrika. Akizungumza kwenye hafla ya kukaribisha kikosi hicho, afisa wa jeshi la majini la Afrika Kusini Bw. Robert Higgs amesema ziara hiyo imeonesha kuongezeka kwa urafiki na ushirikiano kati ya China na Afrika Kusini, na hii itahimiza zaidi uhusiano kati ya majeshi ya majini ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako