• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Daktari aambukizwa virusi vya Ebola nchini Sierra Leone

    (GMT+08:00) 2014-07-24 09:18:38
    Wizara ya afya ya Serra Leone imethibitisha kuwa, daktari aliyekuwa akiongoza kituo cha tiba ya Ebola mjini Kenema nchini Sierra Leone ameugua ugonjwa wa Ebola, na wauguzi watatu wa kituo hicho wamefariki kutokana na ugonjwa huo. Jumuiya za kiraia na baadhi ya waandishi habari nchini Sierra Leone wamemwomba rais Ernest Bai Koroma afute mpango wake wa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani utakaofanyika hivi karibuni nchini Marekani na kushughulikia ugonjwa wa Ebola nchini wake ambao umesababisha vifo vya watu 146 nchini humo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako