• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wa Libya wadhibiti kambi za jeshi la nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2014-07-30 18:34:46
    Jeshi la serikali ya Libya limethibitisha kuwa, wapiganaji wa Kiislamu wa Libya wanadhibiti makao makuu ya vikosi maalum yaliyoko mjini Benghazi. Wapiganaji hao wametoa taarifa ya kuthibitisha jambo hilo. Afisa wa jeshi la Libya amesema, vikosi maalum vya jeshi hilo vilirudi nyuma baada ya mashambulizi kadhaa. Tukio hilo ni kushindwa vibaya kwa jeshi la Libya linapopambana na makundi ya wapiganaji.
    Habari nyingine zinasema, naibu waziri mkuu wa zamani wa Libya aliachiwa huru jana baada ya kutekwa kwa saa kadhaa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako