• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la chini la bunge la Marekani lampa spika idhini ya kumshitaki rais Obama

    (GMT+08:00) 2014-07-31 16:16:30

    Baraza la chini la bunge la Marekani limepitisha mswada na kumpa spika wa baraza hilo idhini ya kumshitaki rais Barack Obama wa nchi hiyo kwa kutumia vibaya madaraka yake katika utekelezaji wa mswada wa sheria ya mageuzi ya matibabu. Muswada huo umepitishwa kwa kura 225 za ndiyo na kura 201 za hapana.

    Akizungumzia shutuma zilizotolewa na chama cha Republican, Rais Obama amesema anatarajia bunge litafanya kazi yake kwa makini na kuboresha maisha ya watu badala ya kumshitaki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako