• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuimarisha mageuzi ya ulinzi na ujenzi wa jeshi

    (GMT+08:00) 2014-07-31 19:52:23

    Wakati siku ya maadhimisho ya jeshi la ukombozi wa umma la China inapokaribia, rais Xi Jinping wa China amekutana na maofisa na askari wa jeshi mkoani Fujian, na kutoa salamu na pongezi za dhati kwa askari wa jeshi la ukombozi wa umma la China, jeshi la polisi, na kikosi cha wanamgambo. Rais Xi ametoa salamu hizo kwa niaba ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na kamati ya kijeshi ya kamati kuu ya chama. Amesisitiza kuwa vikosi vya ngazi mbalimbali vinatakiwa kusukuma mbele ujenzi wa jeshi, mageuzi na maandalizi ya shughuli za kijeshi, na kumaliza kwa makini majukumu mbalimbali yanayopewa na chama cha watu wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako