Maadhimisho ya siku ya vijana yenye kauli mbiu ya vijana na afya ya akili yamefanyika. Nchini Tanzania, vijana wengi wanakabiliwa na tatizo la matumizi ya dawa za kulevya na pombe kali. Kutokana na hali hiyo, wadau wameamua kupambana na tatizo hilo kwa njia nyingi ikiwemo kutoa elimu kwa vijana.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |