• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Amir Khan alenga kupigana na Devon Alexander au Robert Guerrero

    (GMT+08:00) 2014-08-14 15:19:43

    Amir Khan amesema anataka kupigana na Devon Alexander au Robert Guerrero nchini England kabla ya mwaka huu kumalizika. Bondia huyo wa Bolton mwenye miaka 27, anaamini kukutana na mmoja wao inaweza kusaidia kupasha mwili moto kwaajili ya pambano lake la mwakani dhidi ya Manny Pacquiao au Floyd Mayweather. Khan ambaye ni bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa mwepesi wa wastani, amepanda hadi uzito wa wastani ili aweze kupigana na Luis Collazo huko Las Vegas, na kumuangusha mmarekani huyo chini mara tatu. Baada ya hapo Khan amesema anajaribu kupanga pambano na Mayweather au Pacquiao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako