Shirika la Afya Duniani WHO limesema, mpaka kufikia tarehe 11 mwezi huu, jumla ya watu 1975 waliambukizwa, wanashukiwa kuwa na maambukizi, au wako kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya Ebola katika nchi za Afrika Magharibi. Shirika hilo pia limesema, mpaka sasa, watu 1069 wamefariki kutokana na ugonjwa huo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |