• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa Olimpiki ya Rio aahidi michezo kufanyika kwa wakati na kwa bajeti

    (GMT+08:00) 2014-08-19 09:37:23

    Afisa mkuu mtendaji wa kamati ya maandalizi ya Olimpiki ya Rio mwaka 2016 Sidney Levy jana aliahidi kuwa michezo hiyo itafanyika kwa wakati na kwa mujibu wa bajeti iliyopangwa. Brazil ilikuwa mwenyeji wa kombe la dunia, ambapo karibu kila kiwanja kati vyote 12 vilivyojengwa kwa jumla ya dola za kimarekani bilioni 11, vilimalizika huku vikipitiliza bajeti iliyopangwa awali na kupitisha muda wa mwisho uliowekwa kabla ya mashindano, ukiwemo ule wa Sao Paulo ambao hadi mashindano yanaanza siku ya ufunguzi, ulikuwa bado ukiendelea kupakwa rangi, jambo ambalo limezua masuali mengi kuhusu matukio gani watayashuhudia wanariadha na watalii, wakati Rio itakapoanda michezo hiyo. Hata hivyo Levy amesema Olimpiki haiwezi kukabiliwa na aibu kama hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako