• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rafael Nadal ajitoa kwenye michuano ya US Open

    (GMT+08:00) 2014-08-21 10:34:05

    Bingwa namba mbili Duniani wa mchezo wa Tenis Rafael Nadal amejitoa kwenye michuano ya US Open inayotarajiwa kuanza tarehe 25 mwezi huu na kumalizika tarehe 8 Septemba huko Flushing Meadows, kutokana na jeraha la kifundo cha mkono wa kulia alilolipata alipokuwa kwenye mazoezi Julai 29. Nadal alipata jeraha alipokua kwenye mazoezi mwezi julai hali iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mechi mbili za kujipima. Nadal alikua na matumaini ya kupona kabla ya tarehe 25 mwezi huu lakini baada ya maumivu kuendelea ameamua kujitoa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako