• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Li Kuhudhuria sherehe ya ufungaji wa Olimpiki ya vijana ya Nanjing

    (GMT+08:00) 2014-08-25 10:16:04

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Hua Chunying amesema waziri mkuu wa China Li Keqiang atahudhuria sherehe ya ufungaji wa michezo ya pili ya Olimpiki ya Vijana inayoendelea huko Nanjing, China. Mbali na kiongozi huyo, amesema kufuatia mualiko wa Bw. Li waziri mkuu wa Antigua na Barbuda Gaston Brown, waziri mkuu wa Djibout Abdoul Kader Kamil Mohamed na wa Madagascar Kolo Roger pia watakuwepo kwenye sherehe hiyo. Olimpiki ya Vijana ni mashindano ya vijana duniani, ambayo yalianzishwa na rais wa zamani wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki Jacques Rogge. Singapore ilifanya michezo ya kwanza kabisa mwaka 2010.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako