• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la ndege la Ethiopia laanzisha  safari za kwenda Madrid, Hispania

    (GMT+08:00) 2014-09-02 11:17:03

    Shirika la ndege la Ethiopia limeanzisha safari za kwenda Madrid, Hispania na kuufanya mji huo kuwa kituo chake cha kumi barani Ulaya. Huduma hiyo ya Madrid kupitia Rome imefikisha jumla ya vituo vya usafiri vya shirika la ndege la Ethiopia kuwa 83 katika mabara matano. Huduma hiyo ya mara tatu kwa wiki itatoa nafasi ya kuunganisha safiri kati ya Hispania, Kusini na mashariki mwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako