• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mayweathe na Pacquiao kutwangana mangumi mwakani

    (GMT+08:00) 2014-09-03 11:21:05

    Baada ya miongo kadhaa ya kusubiri pambano ambalo dunia nzima linataka kuliona, sasa inaonekana kwamba pambano hilo kati ya Floyd Mayweathe na Manny Pacquiao linaweza kufanyika mara mbili ndani ya mwaka ujao. Promota wa Pacquiao Bob Arum, anaamini kuwa mabondia hao wawili hatimaye watavaana mwakani. Kwa vile pambano la kwanza lililofanyika mwezi Mei ambalo linaaminika kuingiza pesa nyingi zaidi katika historia zipatazo dola milioni 300, hili la safari hii litakalofanyika septemba 2015 linatarajiwa kuingiza zaidi ya dola nusu bilioni. Kuondolewa kwa mabondia hao wawili ambao ni kikwazo kikubwa cha kila upande, na kuwazuia wawili hao kukutana katika ulingo mmoja, imemfanya Bob Arum kutangaza kwenye televisheni kuhusu pambano hilo. Mayweathe na Pacquiao wote wapo kwenye miaka ya 30. Ingawa hamu ya mashabiki ya kutaka wawili hao wakwaane bado ni kubwa, lakini kuna dalili kupitia mitandao ya kijamii kuwa mashabiki wamechoka na sababu za kila siku za kuahirisha pambano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako