• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 39 wamefariki kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini DRC

    (GMT+08:00) 2014-09-15 21:34:37

    Waziri wa afya wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo FĂ©lix Kabange alithibitisha jana kuwa, idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini humo imeongezeka hadi 39, na wote wanatoka mkoa wa Ikweta. Afisa huyo amesema, hadi kufikia Jumamosi watu 66 walikuwa wamethibitishwa au kudhaniwa kuambukizwa na ugonjwa huo, miongoni mwao, 39 wamefariki wakiwemo wafanyakazi wanane wa matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako