• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatuma wataalamu na vifaa kusaidia upimaji wa homa ya Ebola nchini Sierra Leone

    (GMT+08:00) 2014-09-16 10:55:39

    Ofisi ya habari ya wizara ya biashara ya China imesema, ili kuitikia mwito wa WHO kuhusu kuziunga mkono nchi za Afrika kudhibiti homa ya Ebola, serikali ya China imeamua kutuma kikundi cha wataalamu 59 pamoja na vifaa vya kupima Ebola kwenda Sierra Leone, ili kuisaidia nchi hiyo kuimarisha uwezo wake wa kupima ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako