• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mauzo ya nguo nchini China kupitia mtandao wa Internet yapata maendeleo ya kasi

    (GMT+08:00) 2014-09-17 13:12:38

    Kwenye mkutano kuhusu sekta ya biasharawa ya nguo wa China uliofanyika hivi karibuni mjini Urumqi, wataalamu na wadau wa nguo walimesema biashara ya nguo ikiwa ni biashara muhimu kwenye soko la mtandao wa Internet, ina uwezo mkubwa wa kupata maendeleo zaidi. Biashara kupitia maduka na mtandao wa Internet kwa pamoja ni mwelekeo mkubwa uliopo sasa kwenye biashara hii.

    Habari zinasema mwaka jana thamani ya mauzo ya nguo kupitia mtandao wa Internet nchini China ilifikia kuwa yuan bilioni 434.9, ambalo ni yo iliongezekoa la kwa asilimia 42.8 kuliko mwaka juzi, na kuchukua asilimia 23.1 ya mauzo ya bidhaa zote kupitia mtandao wa Internet. Internet imekuwa ni moja kati ya njia muhimu za biashara ya nguo nchini China. Shirika la nguo la China limekadiria kuwa mwaka huu thamani hiyo itafikia yuan bilioni 615.3, ambazyo ni ongezeko la asilimia 41.5 kuliko mwaka jana, na kuchukua asilimia 22.1 ya mauzo ya bidhaa zote kupitia mtandao wa Internet. Wakati thamani na ongezeko la mauzo ya rejareja ya nguo linapopungua, mauzo ya nguo kupitia mtandao wa Internet yanamepata ongezeko la kasimaendeleo ya kasi.

    Takwimu zilizotolewa na kituo cha utafiti wa biashara kupitia mtandao wa Internet cha China zinaonesha kuwa mwaka jana asilimia 76.3 ya wateja walinunua nguo, viatu na kofia kupitia mtandao wa Internet, inakadiriwa kuwa mwaka huu kiasi hiki kitakuwa zaidi ya asilimia 80. Kutokana na mahitaji makubwa ya bidhaa za nguo, makampuni mengi ya biashara kupitia mtandao wa Internet yanagombea shindana kupata wateja wengi zaidi wa nguo kwenye soko la mtandao wa Internet.

    Naibu mkuu wa kudumu wa shirika la nguo la China Bw. Chen Dapeng na wataalamu wengine waliohudhuria mkutano wa nguo wa China walisema, thamani ya biashara, idadi ya wateja, na hali ya uendeshaji wa makampuni ya biashara ya nguo kupitia mtandao wa Internet, zinaonesha kuwa biashara ya nguo kupitia Internethiyo imepata maendeleo mazuri, lakini pia inakabiliwa utana na changamoto mbalimbali.

    Bw. Chen Dapeng alisema kutokana na kutokuwepo kwa na uwiano kati ya maendeleo ya uchumi na jamii ya sehemu mbalimbali, hivi sasa wateja wengi wa nguo wako katika sehemu zya pwani au sehemu za ndani zenye maendeleo makubwa ya kiuchumi. Lakini kutokana na kuenea kwa matumizi ya teknolojia yza Internet na kuongezeka kwa idadi ya watumiaji wa Internet katika sehemu zya kati na na ya magharibi, biashara ya nguo kupitia mtandao wa Internet pia itakuwa na maendeleo makubwa katika sehemu hizoi. Kutatua tatizo la sehemu hizi ni muhimu kwa maendeleo ya biashara kwa njia ya mtandao wupitia Internet.

    Naibu mkuu wa shirika la wafanyabiashara wa Wenzhou mkoani Xinjiang Bw. Yuan Xiufan alisema, biashara kupitia Internet ni njia mpya ya biashara, kila mara njia mpya inapoanza kutumiwachukuliwa, hakika inakabiliwa na changamoto mbalimbali, na biashara ya nguo kupitia Internet inakabiliwa na fursa na changamoto kwa pamoja.

    Meneja mkuu wa kampuni ya Dehui ya Xinjiang Bw. Qian Jinnai alisema, sasa biashara ya nguo inakabiliwa na matatizo mawili. Tatizo la kwanza ni namna ya kuhakikisha usalama wa kulipia kupitia mtandao wa Internet, na hiiambayo ni changamoto ya muda mrefu. La pili ni kuhakikisha usalama wa kutumia mtandao wa Internet. Watu wengi wanalipotumia Internet, kompyuta zao zinalishambuliwa na virusi na Trojan, na akauti na maneno yao ya siri yao yanaliibiwa. Tatizo la usalama limewafanya watumiaji wa Internet wasiwe na imani kubwa na amini usalama wa Internet, na kuzuia maendeleo ya biashara kupitia kwa njia ya Internet na kufanya malipoa kupitia Internet.

    Wataalamu wengine wanamesema, urahisi ni sifa nzuri zaidi ya biashara kupitia mtandao wa Internet, lakini usambazaji wa bidhaa umekuwa tatizo kubwa zaidi linalokwamishazuia maendeleo ya biashara kupitia mtandao wa Internet. Hali ya sasa ni kwamba, usambazaji wa bidhaa ndani ya mji mmoja unahitaji saa moja hadi siku mbili. Bidhaa za nguo zinatakiwa kuuzwa kwa wakati, hivyo usambazaji wa bidhaa unaohitaji muda mrefu unakwamishamezuia maendeleo ya biashara ya nguo kupitia kwa njia ya Internet.

    Lakini kwa mujibu wa maendeleo ya sasa, hakika biashara ya nguo itakuwa sehemu muhimu zaidi katika soko kwenye la mtandao wa Internet. Wataalamu na wadau wamechambua kuwa, katika siku za baadaye, maendeleo ya biashara ya nguo kupitia mtandao wa Internet yatakuwa na mielekeo minne. Kwanza, biashara ya nguo kwa internet kupitia simu ya mkononi itapata maendeleo ya kasi. Pili, wafanyabiashara wa nguo kupitia Internet watatilia maanani zaidi maadili ya kazi yaozao. Tatu, mauzo ya madukani na mauzo kupitia Internet yatashirikiana na kusaidiana. Nne, wafanyabiashara watatengeneza bidhaa za aina mbailimbalimbalimbali ili kukidhi mahitaji tofauti ya wateja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako