• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Caf wayapiga marufuku mashabiki wa Setif

    (GMT+08:00) 2014-09-18 10:44:40

    Shirikisho la soka la Afrika CAF limeagiza klabu ya Algeria Entente Setif kucheza mechi yake ya kufuzu kombe la mabingwa barani Afrika dhidi ya TP Mazembe bila mashabiki. Mechi hiyo ya nusu fainali Dhidi ya timu hiyo ya DRC Congo, imepangwa kuchezwa tarehe 20 Septemba huko Setif. Caf imefikia uamuzi huo kufuatia matukio kadha ya kinidhamu yanayokiuka mustakabli wa kandanda yaliyofanywa na mashabiki wa ES Setif. CAF ilitumia ripoti mbalimbali za maafisa wake katika mechi zilizoshirikisha Setif katika hatua ya makundi lakini haikudokeza matukio yenyewe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako