• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    (GMT+08:00) 2014-09-19 19:28:28

    Serikali ya China imeidhinisha mpango unaotoa mwelekeo wa kufikia malengo ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ifikapo mwaka wa 2020. Baraza la serikali la China limeidhinisha mpango huo uliopendekezwa na Kamati ya taifa ya maendeleo na mageuzi. China imeahidi kupunguza kiwango cha utoaji wa hewa ya carbon kwa kati ya asilimia 40% na 45% ifikapo mwaka 2020, na inalenga kuongeza matumizi ya nishati isiyo ya visukuku hadi asilimia 15% na kuongeza eneo misitu kwa ekari milioni 40%. Mpango huo pia unahimiza ushirikiano zaidi wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako