• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu duniani kufikia bilioni 11 mwaka 2100

    (GMT+08:00) 2014-09-19 19:45:29

    Uchunguzi ulioongozwa na Umoja wa Mataifa unaonesha kuwa idadi ya watu duniani itaendelea kuongezeka na kufikia bilioni 11 mwisho mwa karne hii. Idadi hiyo ni watu bilioni 2 zaidi kuliko ilivyokadiriwa hapoawali, sababu itakuwa ni ongezeko kubwa la watu barani Afrika.

    Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarida la Marekani "Sayansi" unasema idadi ya watu barani Afrika itaongezeka mara tatu kutoka bilioni 1 ya sasa hadi bilioni 4 itakapofika mwaka 2100, ambapo mmoja kati ya kila watu watatu duniani atakuwa mwafrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako