• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 65 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa

    (GMT+08:00) 2014-09-21 19:10:16

    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 65 ya kuanzishwa kwa baraza la mashauriano ya kisiasa ya China. Kwenye hotuba hiyo rais Xi amesema baraza hilo ni njia muhimu ya kutimiza demokrasia ya watu wa China, na inatakiwa kushikilia moyo wa kufanya mageuzi na uvumbuzi, ili kushirikisha vyama, makabila na makundi mbalimbali ya watu katika mambo ya taifa na kupanua zaidi demokrasia nchini China.

    Rais Xi amesisitiza kuwa, demokrasia ya kisosholisti yenye mashauriano ya kisiasa ni njia maalumu na pekee ya siasa nchini China, na pia inaonesha wazi sera ya chama cha kikomunisti cha China ya kufuata njia ya kiumma katika mambo ya kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako